Mwanzo 5:20 - Swahili Revised Union Version20 Siku zote za Yaredi ni miaka mia tisa na sitini na miwili, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yaredi alifariki akiwa na umri wa miaka 962. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yaredi alifariki akiwa na umri wa miaka 962. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yaredi alifariki akiwa na umri wa miaka 962. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Yaredi aliishi jumla ya miaka mia tisa na sitini na mbili (962), ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Siku zote za Yaredi ni miaka mia tisa na sitini na miwili, akafa. Tazama sura |