Mwanzo 5:19 - Swahili Revised Union Version19 Yaredi akaishi baada ya kumzaa Henoko miaka mia nane, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Baada ya kumzaa Henoki, Yaredi aliishi miaka 800 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Baada ya kumzaa Henoki, Yaredi aliishi miaka 800 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Baada ya kumzaa Henoki, Yaredi aliishi miaka 800 na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Baada ya kumzaa Idrisi, Yaredi aliishi miaka mia nane, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Baada ya kumzaa Idrisi, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Yaredi akaishi baada ya kumzaa Henoko miaka mia nane, akazaa wana, wa kiume na wa kike. Tazama sura |