Mwanzo 5:18 - Swahili Revised Union Version18 Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yaredi alipokuwa na umri wa miaka 162, alimzaa Henoki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yaredi alipokuwa ameishi miaka mia moja na sitini na mbili (162), akamzaa Idrisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Idrisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Yaredi akaishi miaka mia moja na sitini na miwili, akamzaa Henoko. Tazama sura |