Mwanzo 5:17 - Swahili Revised Union Version17 Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mahalaleli alifariki akiwa na umri wa miaka 895. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mahalaleli aliishi jumla ya miaka mia nane tisini na tano (895), ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Siku zote za Mahalaleli ni miaka mia nane na tisini na mitano, akafa. Tazama sura |