Mwanzo 5:21 - Swahili Revised Union Version21 Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Henoki alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Methusela. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Henoki alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Methusela. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Henoki alipokuwa na umri wa miaka 65, alimzaa Methusela. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Idrisi alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, akamzaa Methusela. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Idrisi alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. Tazama sura |