Hivi ndivyo utakavyoifanya; dhiraa mia tatu urefu wa safina, dhiraa hamsini upana wake, na dhiraa thelathini kwenda juu.
Mwanzo 7:20 - Swahili Revised Union Version Maji yakaongezeka hata milima ikafunikwa kiasi cha dhiraa kumi na tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Biblia Habari Njema - BHND Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Neno: Bibilia Takatifu Maji yakaendelea kujaa, yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. Neno: Maandiko Matakatifu Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. BIBLIA KISWAHILI Maji yakaongezeka hata milima ikafunikwa kiasi cha dhiraa kumi na tano. |
Hivi ndivyo utakavyoifanya; dhiraa mia tatu urefu wa safina, dhiraa hamsini upana wake, na dhiraa thelathini kwenda juu.
Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa.
Ni kweli, msaada haufai unaotazamiwa kutoka milimani, makutano yenye mshindo juu ya milima; ni kweli, wokovu wa Israeli ni katika BWANA, Mungu wetu.