Mwanzo 7:20 - Swahili Revised Union Version20 Maji yakaongezeka hata milima ikafunikwa kiasi cha dhiraa kumi na tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Yaliongezeka hata kuifunika milima kiasi cha mita saba na nusu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Maji yakaendelea kujaa, yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Maji yakaendelea kujaa yakaifunika milima kwa kina cha zaidi ya dhiraa kumi na tano. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Maji yakaongezeka hata milima ikafunikwa kiasi cha dhiraa kumi na tano. Tazama sura |