Mwanzo 7:19 - Swahili Revised Union Version19 Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Maji yakazidi kujaa juu ya dunia, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa. Tazama sura |