Mwanzo 7:18 - Swahili Revised Union Version18 Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Maji yakaendelea kuongezeka zaidi nchini na safina ikaelea juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya dunia, na safina ikaelea juu ya maji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Maji yakajaa na kuongezeka sana juu ya nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi; na safina ikaelea juu ya uso wa maji. Tazama sura |