Mwanzo 7:17 - Swahili Revised Union Version17 Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arubaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Gharika ilidumu nchini kwa muda wa siku arubaini. Maji yakaongezeka na kuiinua safina, ikaelea juu ya ardhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani; maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka uso wa dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani na maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka kwenye uso wa nchi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Ile gharika ilikuwako juu ya nchi siku arobaini; nayo maji yakazidi, yakaifanya safina ielee, ikaelea juu ya nchi. Tazama sura |