Mwanzo 6:15 - Swahili Revised Union Version15 Hivi ndivyo utakavyoifanya; dhiraa mia tatu urefu wa safina, dhiraa hamsini upana wake, na dhiraa thelathini kwenda juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Utaitengeneza hivi: Urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Utaitengeneza hivi: Urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Utaitengeneza hivi: urefu wake mita 139, upana wake mita 25 na kimo chake mita 15. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa mia tatu, upana wake dhiraa hamsini, na kimo chake dhiraa thelathini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hivi ndivyo utakavyoitengeneza: Safina iwe na urefu wa dhiraa 300, upana wake dhiraa hamsini na kimo chake dhiraa thelathini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Hivi ndivyo utakavyoifanya; dhiraa mia tatu urefu wa safina, dhiraa hamsini upana wake, na dhiraa thelathini kwenda juu. Tazama sura |