Mwanzo 7:19 - Swahili Revised Union Version Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Biblia Habari Njema - BHND Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji hayo yakawa mengi sana juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu katika nchi. Neno: Bibilia Takatifu Maji yakazidi kujaa juu ya dunia, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote. Neno: Maandiko Matakatifu Maji yakazidi kujaa juu ya nchi, yakaifunika milima yote mirefu chini ya mbingu yote. BIBLIA KISWAHILI Maji yakazidi kuongezeka sana sana juu ya nchi; hata milima mirefu yote iliyokuwako chini ya mbingu ikafunikwa. |
Ni kweli, msaada haufai unaotazamiwa kutoka milimani, makutano yenye mshindo juu ya milima; ni kweli, wokovu wa Israeli ni katika BWANA, Mungu wetu.