Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 36:3 - Swahili Revised Union Version na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi. Biblia Habari Njema - BHND na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi. Neno: Bibilia Takatifu pia akaoa Basemathi binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi. Neno: Maandiko Matakatifu pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi. BIBLIA KISWAHILI na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi. |
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Abrahamu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.
Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.
Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;