Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:3 - Swahili Revised Union Version

3 na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 na Basemathi, binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 pia akaoa Basemathi binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 pia akaoa Basemathi binti wa Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,


Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.


Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Abrahamu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.


Haya ndiyo majina ya wana wa Esau; Elifazi, mwana wa Ada mkewe Esau. Reueli, mwana wa Basemathi, mkewe Esau.


Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;


Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo