Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:2 - Swahili Revised Union Version

2 Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?


Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Abrahamu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.


Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.


Na hawa ni wana wa Sibeoni, Aya, na Ana; ni yule Ana aliyeona chemchemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa akichunga punda za Sibeoni babaye.


Na hawa ni wana wa Ana, Dishoni, na Oholibama, binti Ana.


na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi.


Akasema, Na alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo