Mwanzo 26:34 - Swahili Revised Union Version34 Esau alipokuwa mwenye miaka arubaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Esau alipokuwa na umri wa miaka arubaini, alioa wake wawili Wahiti: Yudithi bintiye Beeri, na Basemathi bintiye Eloni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudaithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti. Tazama sura |