Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 26:35 - Swahili Revised Union Version

35 Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Hawa walikuwa chanzo cha huzuni kwa Isaka na Rebeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaka na Rebeka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 26:35
5 Marejeleo ya Msalaba  

nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao;


Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?


Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.


wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wowote waliowachagua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo