Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.
Mwanzo 24:57 - Swahili Revised Union Version Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Biblia Habari Njema - BHND Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.” BIBLIA KISWAHILI Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe. |
Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.
BWANA ameagiza neno hili katika habari ya binti za Selofehadi, akasema, Na waolewe na waume wawapendao; lakini na waolewe katika jamaa ya kabila la baba zao.