Mwanzo 24:58 - Swahili Revised Union Version58 Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu58 Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utaenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitaenda.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu58 Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.” Tazama sura |