Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 24:56 - Swahili Revised Union Version

56 Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

56 Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

56 Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

56 Lakini yeye akasema, “Tafadhali, msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha fanikisha safari yangu; naomba mniruhusu kurudi kwa bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

56 Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa Mwenyezi Mungu amefanikisha safari yangu. Nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

56 Lakini yule mtumishi akawaambia, “Msinicheleweshe, kwa kuwa bwana amefanikisha safari yangu, nipeni ruhusa nirudi kwa bwana wangu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

56 Naye akawaambia, Msinikawilishe, mradi BWANA amefanikisha njia yangu; nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 24:56
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akaniambia, BWANA, ambaye naenenda machoni pake, atatuma malaika wake pamoja nawe, atafanikisha njia yako; nawe umtwalie mwanangu mke katika jamaa zangu, na wa nyumba ya babangu.

Wakala, wakanywa, yeye na watu waliokuwa pamoja naye, nao wakakaa usiku. Wakaondoka asubuhi, naye akasema, Nipeni ruhusa niende kwa bwana wangu.

Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe.

Ikawa Raheli alipomzaa Yusufu, Yakobo akamwambia Labani, Nipe ruhusa niende kwetu, na kwenye nchi yangu.

Kama vile maji ya baridi kwa mtu mwenye kiu, Ndivyo ilivyo habari njema itokayo katika nchi ya mbali.

Mimi, naam, mimi, nimenena; naam, nimemwita; nimemleta, naye ataifanikisha njia yake.

Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda kulingana na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo