Mwanzo 24:57 - Swahili Revised Union Version57 Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Nao wakasema, “Basi, tumwite msichana mwenyewe, tumwulize.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI57 Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe. Tazama sura |