Mwanzo 24:25 - Swahili Revised Union Version Tena akamwambia, Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha, na mahali pa kukaa wageni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha na mahali pa kulala wageni.” Biblia Habari Njema - BHND Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha na mahali pa kulala wageni.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha na mahali pa kulala wageni.” Neno: Bibilia Takatifu Akaendelea kusema, “Kwetu kuna majani mengi na malisho, tena kuna nafasi kwa ajili yenu kulala.” Neno: Maandiko Matakatifu Akaendelea kusema, “Kwetu kuna majani mengi na malisho, tena kuna nafasi kwa ajili yenu kulala.” BIBLIA KISWAHILI Tena akamwambia, Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha, na mahali pa kukaa wageni. |
Na mtu yule akaingia katika nyumba, akawafungua ngamia; naye akatoa majani na malisho kwa ngamia, na maji ya kuoshea miguu yake, na miguu ya watu waliokuwa pamoja naye.
Mmoja wao alipofungua gunia lake ili ampe punda wake chakula katika nyumba ya wageni, aliiona fedha yake; kumbe! Iko kinywani mwa gunia lake.