Mwanzo 24:24 - Swahili Revised Union Version24 Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Rebeka akajibu, “Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Milka, mkewe Nahori. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti ya Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori. Tazama sura |