Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 24:23 - Swahili Revised Union Version

23 akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Akamwuliza, “Niambie tafadhali: Wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Akamwuliza, “Niambie tafadhali: Wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Akamwuliza, “Niambie tafadhali: wewe ni binti nani? Je, kuna nafasi ya kulala nyumbani kwenu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kisha akamuuliza, “Wewe ni binti ya nani? Tafadhali niambie. Je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tunapoweza kulala?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kisha akamuuliza, “Wewe ni binti wa nani? Tafadhali uniambie, je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tutakapoweza kulala?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 akasema, U binti wa nani wewe? Tafadhali uniambie. Je! Iko nafasi katika nyumba ya baba yako tupate mahali pa kukaa kwa muda?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, ngamia walipokwisha kunywa, yule mtu akatwaa pete ya dhahabu, uzani wake ulikuwa nusu shekeli, na vikuku viwili kwa mikono yake, uzani wake ulikuwa shekeli kumi za dhahabu,


Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori.


Kisha nikamwuliza, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia kishaufu puani mwake na vikuku mikononi mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo