Methali 8:19 - Swahili Revised Union Version Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Biblia Habari Njema - BHND Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Matunda yangu ni mazuri kuliko dhahabu safi, faida yangu yashinda ile ya fedha bora. Neno: Bibilia Takatifu Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile ninachotoa hupita fedha iliyo bora. Neno: Maandiko Matakatifu Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. BIBLIA KISWAHILI Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi. |
Yakuti ya rangi ya manjano ya Kushi haitasawazishwa nayo, Wala haitatiwa kima kwa dhahabu safi.
Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo.