Methali 8:10 - Swahili Revised Union Version Pokea mafundisho yangu, wala si fedha, Na maarifa kuliko dhahabu safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Chagua mafundisho yangu badala ya fedha; na maarifa badala ya dhahabu safi. Biblia Habari Njema - BHND Chagua mafundisho yangu badala ya fedha; na maarifa badala ya dhahabu safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Chagua mafundisho yangu badala ya fedha; na maarifa badala ya dhahabu safi. Neno: Bibilia Takatifu Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi, Neno: Maandiko Matakatifu Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, maarifa badala ya dhahabu safi, BIBLIA KISWAHILI Pokea mafundisho yangu, wala si fedha, Na maarifa kuliko dhahabu safi. |
Dhahabu na vioo haviwezi kulinganishwa nayo; Wala kubadili kwake hakutakuwa kwa vyombo vya dhahabu safi.
Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
kama wenye huzuni, bali siku zote tu wenye furaha; kama maskini, bali tukitajirisha wengi; kama wasio na kitu, bali tu wenye vitu vyote.