Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea; Umtafute mtumishi wako; Kwa maana sikuyasahau maagizo yako.
Methali 7:25 - Swahili Revised Union Version Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Biblia Habari Njema - BHND Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Neno: Bibilia Takatifu Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. Neno: Maandiko Matakatifu Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. BIBLIA KISWAHILI Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. |
Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea; Umtafute mtumishi wako; Kwa maana sikuyasahau maagizo yako.
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.