Methali 6:25 - Swahili Revised Union Version25 Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Usimtamani mwanamke huyo kwa uzuri wake, wala usikubali kunaswa kwa kope za macho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Usimtamani mwanamke huyo kwa uzuri wake, wala usikubali kunaswa kwa kope za macho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Usimtamani mwanamke huyo kwa uzuri wake, wala usikubali kunaswa kwa kope za macho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Moyo wako usitamani uzuri wake, wala macho yake yasikuteke, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Moyo wako usitamani uzuri wake wala macho yake yasikuteke, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake. Tazama sura |