Methali 7:24 - Swahili Revised Union Version24 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Mkayaangalie maneno ya kinywa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Sasa wanangu, nisikilizeni; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Sasa wanangu, nisikilizeni; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Sasa wanangu, nisikilizeni; yategeeni sikio maneno ya kinywa changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; sikilizeni kwa makini nisemalo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Sasa basi wanangu, nisikilizeni; sikilizeni kwa makini nisemalo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Mkayaangalie maneno ya kinywa changu. Tazama sura |