Methali 7:25 - Swahili Revised Union Version25 Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Msikubali kuongozwa na mwanamke kama huyo, wala msipitepite katika mapito yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, wala usitangetange katika mapito yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Moyo wako usizielekee njia zake, Wala usipotee katika mapito yake. Tazama sura |