Methali 7:26 - Swahili Revised Union Version26 Maana amewaangusha wengi aliowajeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Maana amewaangusha wanaume wengi; ni wengi mno hao aliowachinja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Aliowaangusha ni wengi; aliowachinja ni kundi kubwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Maana amewaangusha wengi aliowajeruhi, Naam, jumla ya waliouawa naye ni wengi. Tazama sura |