Methali 6:2 - Swahili Revised Union Version Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Biblia Habari Njema - BHND umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya. Neno: Bibilia Takatifu kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, Neno: Maandiko Matakatifu kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, BIBLIA KISWAHILI Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako, |
Sasa, mwanangu, fanya hivi ukajiokoe, Kwa kuwa umejitia mkononi mwa jirani yako; Nenda ukanyenyekee, na kumsihi jirani yako.
Sanamu za kuchonga za miungu yao mtaziteketeza kwa moto; usitamani fedha wala dhahabu iliyo juu yao, wala usiitwae iwe yako usije ukanaswa nayo; kwa maana ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako;