Methali 6:13 - Swahili Revised Union Version Hukonyeza kwa macho, hunena kwa miguu, Huwaashiria watu kwa vidole vyake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Biblia Habari Njema - BHND Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Neno: Bibilia Takatifu ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, Neno: Maandiko Matakatifu ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, BIBLIA KISWAHILI Hukonyeza kwa macho, hunena kwa miguu, Huwaashiria watu kwa vidole vyake. |
Sitaweka mbele ya macho yangu Neno la uovu. Kazi yao waliopotoka naichukia, Haitaambatana nami.
Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;