Methali 6:13 - Swahili Revised Union Version13 Hukonyeza kwa macho, hunena kwa miguu, Huwaashiria watu kwa vidole vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 ambaye anakonyeza kwa jicho lake, anayetoa ishara kwa miguu yake na kuashiria kwa vidole vyake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Hukonyeza kwa macho, hunena kwa miguu, Huwaashiria watu kwa vidole vyake. Tazama sura |