Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Methali 4:15 - Swahili Revised Union Version Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Biblia Habari Njema - BHND Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Neno: Bibilia Takatifu Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako. Neno: Maandiko Matakatifu Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako. BIBLIA KISWAHILI Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako. |
Ikiwa una uovu mkononi mwako, uweke mbali nawe, Wala usikubali upuzi kukaa hemani mwako;
Jitenge mbali na neno la uongo; wala wasio hatia na wenye haki usiwaue; kwa kuwa mimi sitamhesabia haki yeye aliye mwovu.
Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.
Ni yeye aendaye kwa haki, anenaye maneno ya adili; ni yeye anayedharau faida ipatikanayo kwa dhuluma; akung'utaye mikono yake asipokee rushwa; azibaye masikio yake asisikie habari za umwagaji wa damu; afumbaye macho yake asitazame uovu.