Methali 3:14 - Swahili Revised Union Version Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hekima ni bora kuliko fedha, ina faida kuliko dhahabu. Biblia Habari Njema - BHND Hekima ni bora kuliko fedha, ina faida kuliko dhahabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hekima ni bora kuliko fedha, ina faida kuliko dhahabu. Neno: Bibilia Takatifu kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. Neno: Maandiko Matakatifu kwa maana hekima ana faida kuliko fedha na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. BIBLIA KISWAHILI Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi. |
Matunda yangu ni bora kuliko dhahabu, naam, dhahabu safi, Na faida yangu ni bora kuliko fedha iliyo safi.
Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kuipoteza nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?
Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri, na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya uchi wako isionekane, na dawa ya macho ya kujipaka macho yako, upate kuona.