Methali 3:15 - Swahili Revised Union Version15 Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hekima ina thamani kuliko johari, hamna unachotamani kiwezacho kulingana nayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Hekima ana thamani kuliko marijani; hakuna chochote unachokitamani kinachoweza kulinganishwa naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye. Tazama sura |