Methali 3:11 - Swahili Revised Union Version Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Biblia Habari Njema - BHND Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake; Neno: Bibilia Takatifu Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu na usichukie maonyo yake, Neno: Maandiko Matakatifu Mwanangu, usiidharau adhabu ya bwana na usichukie kukaripiwa naye, BIBLIA KISWAHILI Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye. |
Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.
Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.
Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili upinzani mkuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu.