Methali 26:8 - Swahili Revised Union Version Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Biblia Habari Njema - BHND Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kumpa mpumbavu heshima, ni kama kufunga jiwe kwenye kombeo. Neno: Bibilia Takatifu Kama kufunga jiwe kwenye kombeo, ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. Neno: Maandiko Matakatifu Kama kufunga jiwe kwenye kombeo, ndivyo ilivyo kumpa mpumbavu heshima. BIBLIA KISWAHILI Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. |
Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno; Kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.