Methali 26:9 - Swahili Revised Union Version9 Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kung'oa mwiba mkononi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Tazama sura |