Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 26:7 - Swahili Revised Union Version

7 Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoning'inia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.

Tazama sura Nakili




Methali 26:7
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa ajili ya ulimi wao wataangamizwa; Wote wawaonao watatetemeka kwa hofu. Wote wawaonao watatikisa kichwa.


Maneno mazuri hayapendezi kinywani mwa mpumbavu; Sembuse midomo ya uongo kinywani mwa mkuu.


Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.


Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu.


Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.


Akawaambia, Bila shaka mtaniambia mithali hii, Tabibu, jiponye nafsi yako; mambo yote tuliyosikia kwamba yametendeka Kapernaumu, yatende na hapa pia katika nchi yako mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo