Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 26:6 - Swahili Revised Union Version

6 Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa sumu, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.

Tazama sura Nakili




Methali 26:6
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwa hao waliomwajiri.


Mjumbe mbaya huanguka maovuni; Bali mjumbe mwaminifu ni afya.


Kama baridi ya theluji wakati wa mavuno; Ndivyo alivyo mjumbe mwaminifu kwao wamtumao; Kwa maana huwaburudisha bwana zake nafsi zao.


Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.


Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.


Bali wale watu waliopanda pamoja naye wakasema, Hatuwezi kupanda tupigane na watu hawa; kwa maana wana nguvu kuliko sisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo