Methali 26:22 - Swahili Revised Union Version Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Neno: Bibilia Takatifu Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. Neno: Maandiko Matakatifu Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. BIBLIA KISWAHILI Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. |
Wasingiziaji wamekuwamo ndani yako, ili kumwaga damu; na ndani yako wamekula juu ya milima; kati yako wamefanya uasherati.
Usiende huku na huko katikati ya watu wako, kama mchongezi; wala usijifaidi kwa damu ya jirani yako; mimi ndimi BWANA.