Njia ya mtu mvivu ni kama boma la miiba; Bali mapito yao wenye unyofu hufanyika njia kuu.
Methali 26:13 - Swahili Revised Union Version Mtu mvivu husema, Simba yuko njiani, Simba yuko katika njia kuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mvivu husema: “Huko nje kuna simba; siwezi kwenda huko.” Biblia Habari Njema - BHND Mvivu husema: “Huko nje kuna simba; siwezi kwenda huko.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mvivu husema: “Huko nje kuna simba; siwezi kwenda huko.” Neno: Bibilia Takatifu Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, simba mkali anazunguka mitaa!” Neno: Maandiko Matakatifu Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, simba mkali anazunguka mitaa!” BIBLIA KISWAHILI Mtu mvivu husema, Simba yuko njiani, Simba yuko katika njia kuu. |
Njia ya mtu mvivu ni kama boma la miiba; Bali mapito yao wenye unyofu hufanyika njia kuu.
basi nikaogopa, nikaenda nikaificha talanta yako katika ardhi; tazama, unayo iliyo yako.