Methali 23:16 - Swahili Revised Union Version Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Biblia Habari Njema - BHND Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Neno: Bibilia Takatifu utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. Neno: Maandiko Matakatifu utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. BIBLIA KISWAHILI Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema. |
Neno lolote lililo ovu lisitoke vinywani mwenu, bali lililo jema la kumfaa mwenye kuhitaji, ili liwape neema wanaosikia.
Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi. Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu.