Maneno ya BWANA ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.
Methali 22:20 - Swahili Revised Union Version Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa, Biblia Habari Njema - BHND Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimekuandikia misemo thelathini, misemo ya maonyo na maarifa, Neno: Bibilia Takatifu Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa, Neno: Maandiko Matakatifu Je, sijakuandikia misemo thelathini, misemo ya mashauri na maarifa, BIBLIA KISWAHILI Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa; |
Maneno ya BWANA ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.
Huyo Mhubiri akachunguza ili apate kuona maneno yapendezayo, na yale yaliyoandikwa kwa unyofu, yaani, maneno ya kweli.