Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 22:19 - Swahili Revised Union Version

19 Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Ninayependa kumfundisha leo ni wewe, ili tegemeo lako liwe kwa Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Ili tumaini lako liwe katika Mwenyezi Mungu, hata wewe, ninakufundisha leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Ili tumaini lako liwe katika bwana, hata wewe, ninakufundisha leo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Ili matumaini yako uyaweke kwa BWANA, leo nimekujulisha wewe haya, naam, wewe.

Tazama sura Nakili




Methali 22:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi watu, mtumainini sikuzote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.


Je! Sikukuandikia mambo makuu juu ya mashauri na juu ya maarifa;


Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;


Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.


Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.


Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.


na kupitia kwake mmekuwa wenye kumwamini Mungu, aliyemfufua katika wafu akampa utukufu; hata imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo