Methali 21:10 - Swahili Revised Union Version Nafsi ya mtu mbaya hutamani uovu; Jirani yake hapati fadhili machoni pake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Biblia Habari Njema - BHND Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. BIBLIA KISWAHILI Nafsi ya mtu mbaya hutamani uovu; Jirani yake hapati fadhili machoni pake. |
Ametoa kwa ukarimu, na kuwapa maskini, Haki yake yakaa milele, Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
Basi mambo hayo yalikuwa mifano kwetu, kusudi sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya, kama wale nao walivyotamani.
Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.