Methali 21:10 - Swahili Revised Union Version10 Nafsi ya mtu mbaya hutamani uovu; Jirani yake hapati fadhili machoni pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana huruma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Nafsi ya mtu mbaya hutamani uovu; Jirani yake hapati fadhili machoni pake. Tazama sura |