Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.
Methali 18:17 - Swahili Revised Union Version Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Biblia Habari Njema - BHND Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ajiteteaye kwanza huonekana msema kweli, mpaka hapo mpinzani wake atakapoanza kumhoji. Neno: Bibilia Takatifu Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye aliye wa kwanza kuleta mashtaka huonekana sahihi, hadi mwingine ajitokezapo na kumuuliza maswali. BIBLIA KISWAHILI Ajiteteaye kwanza huonekana kuwa ana haki; Lakini jirani yake huja na kumchunguza. |
Ikawa bwana wake aliposikia maneno aliyoambia na mkewe, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka.